Fast download.

michepuko

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
1,192
Reaction score
346
Habari wa JF,
Natumia U-torrent kwa ku download movies kwenye laptop yangu.Najiunga na bundle ya voda ya sh 1000/=bila kikomo,
Napenda kujua ni nitumiea software gani ambayo iko speed katika kudownload (at least kudownload movie 5 kwa speed na kwa wakati mmoja) tofauti na torrent,Na kwa gharama ya kifurushi kilekile cha sh 1000/=
Naomba michango yenu tafadhali.
 
Naomba kukuuliza mkuu michepuko

Hivi ukijiunga na hilo bando la buku speed huwa haipungui ukimaliza GB1?

Na kama ikipungua huwa inafikia kias gani kwa KBps?
 
Last edited by a moderator:
Speed inapungua mkuu,mpka wakati mwingine 50Kbps.
 

Unazo basics za ku-download katika torrent?
Au watafuta files zenye seeders watano?
Afu bado unataka speed kubwa...

Infact kama speed ya torrent hauifurahi basi no way out give money out ulipie Seeding sites za kubadili torrent kuja IDM...

jaribu trial hapa www.zbigz.com
 


kwa torrent speed ya kuanzia 30Kbps hadi 200Kbps na kuendelea ni kawaida sana, cha kufanya wewe uwe unadaownload usiku kuanzia saa 10.00pm hadi 06.00am , speed itakuwa wastani wa 160Kbps ambayo unaweza ku download hadi movies 5 zenye ukubwa wa wastani 1.4GB kwa kila movie.

mimi huwa ninadownload atleast 3 movies kila siku ninapodownload movie kwa kutumia BiTorrent

hizi ni screen shots za baada ya kukamilika movie 3

hapa nilikuwa nimezihamisha kutoka kwenye download folder



hapa mbilizilikuwa zimekamilika

 

uzuri hii mnaweza share hata watu 5 mnachangishana hyo 9.9$ ila kuna mambwiga wanabadilishaga password. Huu ndo usumbufu nnaopata kila kukicha kuchange password.
 
Jamani hebu tuwe na imani walau kidogo.
Yani movie wenzio watengeneze kwa mamilioni alafu wewe udownload at that very cheap rate of 5 movies kwa buku??

Hii haiwezekani aisee hata kama ni bure sio kiivyo.
 
Jamani hebu tuwe na imani walau kidogo.
Yani movie wenzio watengeneze kwa mamilioni alafu wewe udownload at that very cheap rate of 5 movies kwa buku??

Hii haiwezekani aisee hata kama ni bure sio kiivyo.

niangalie mtu anapigwa risasi kichwani kwa shingapi??
 
Jamani hebu tuwe na imani walau kidogo.
Yani movie wenzio watengeneze kwa mamilioni alafu wewe udownload at that very cheap rate of 5 movies kwa buku??

Hii haiwezekani aisee hata kama ni bure sio kiivyo.

unaelewa kinachozungumziwa lakini?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…