Mapya Yaja
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 560
- 403
Tutajie chanzo cha habari hii, ili tufunguke vizuri. Naona kama umeuliza swali.Kwa mujibu wa tangazo lao kwenye media wameanza kutoa fao la uzazi kuanzia Julai mwaka huu. Naomba mwenye taarifa zaidi hasa vigezo na taratibu za kufuata ili kupata fao hili atujuze. Nitashukuru kwa msaada
Chanzo cha habari hii ni Pspf.Tutajie chanzo cha habari hii, ili tufunguke vizuri. Naona kama umeuliza swali.
Nenda Facebook like page yao then kuna Q&A.Kwa mujibu wa tangazo lao kwenye media wameanza kutoa fao la uzazi kuanzia Julai mwaka huu. Naomba mwenye taarifa zaidi hasa vigezo na taratibu za kufuata ili kupata fao hili atujuze. Nitashukuru kwa msaada
Me najaribu kuwasiliana nao lakini nagonga mwamba.Napiga simu hawapokei.PSPF ni waongo sana, ni waongo sana....
HAWANA CHA FAO LA UZAZI WALA NINI
wala hawajawalipa wastaafu hadi sasa, nawachukia, najuta kujiunga nao
PSPF hawafaiMe najaribu kuwasiliana nao lakini nagonga mwamba.Napiga simu hawapokei.