Hussein Massanza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1,016 Reaction score 2,195 Sep 28, 2017 #1 Ujumbe mzuri kwa wanaoamini na wasioamini. Great message to believers and Non-believers. =========== Chorus! Fanya Hisab Kamili Upime zako Amali Upatalo ndilo kweli Amua Mwenye Akili Verse Mja Fanya Hisabu, Upate yako Majibu, Muovu yake Adhabu, Motoni Ataingia, Safisha Chako Kitabu, Kwa mola uwe karibu, Adhabu yake Wahabu, Huwezi kuvumilia *Repeat Chorus* Kibwagizo Mwanadamu Tafakari "Fanya Hisab" Juwa kuna Dafutari "Fanya Hisab" Yanaandikwa ya Kheri "Fanya Hisab" Huandikwa na ya shari "Fanya Hisab" Pumzi zitakatika Hesabu zimachafuka Ubaki kuhuzunika Umri umeuchezea *Repeat Chorus*
Ujumbe mzuri kwa wanaoamini na wasioamini. Great message to believers and Non-believers. =========== Chorus! Fanya Hisab Kamili Upime zako Amali Upatalo ndilo kweli Amua Mwenye Akili Verse Mja Fanya Hisabu, Upate yako Majibu, Muovu yake Adhabu, Motoni Ataingia, Safisha Chako Kitabu, Kwa mola uwe karibu, Adhabu yake Wahabu, Huwezi kuvumilia *Repeat Chorus* Kibwagizo Mwanadamu Tafakari "Fanya Hisab" Juwa kuna Dafutari "Fanya Hisab" Yanaandikwa ya Kheri "Fanya Hisab" Huandikwa na ya shari "Fanya Hisab" Pumzi zitakatika Hesabu zimachafuka Ubaki kuhuzunika Umri umeuchezea *Repeat Chorus*
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,421 Sep 28, 2017 #2 Sawa mkuu
Hussein Massanza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 1,016 Reaction score 2,195 May 29, 2018 Thread starter #3 Joseverest said: Sawa mkuu Click to expand... Mwezi huu mtukufu ndio wakati wake hasa!