Elijah O JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,127 Reaction score 930 Aug 21, 2025 #1 Habari zenu wakuu Anahitajika Famasia (Registered Pharmacy) Kiwango cha elimu degree Eneo la kazi Bariadi Manispaa Tuma CV kupitia email happyness@gmail.com
Habari zenu wakuu Anahitajika Famasia (Registered Pharmacy) Kiwango cha elimu degree Eneo la kazi Bariadi Manispaa Tuma CV kupitia email happyness@gmail.com
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 5,916 Reaction score 15,012 Aug 21, 2025 #2 Tangazo lako ni la hovyo sana, Jina la ofisi?? Salary??
H Humble be JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 3,424 Reaction score 5,860 Aug 21, 2025 #3 Elijah O said: Habari zenu wakuu Anahitajika Famasia (Registered Pharmacy) Kiwango cha elimu degree Eneo la kazi Bariadi Manispaa Tuma CV kupitia email happyness@gmail.com Click to expand... Dau ??
Elijah O said: Habari zenu wakuu Anahitajika Famasia (Registered Pharmacy) Kiwango cha elimu degree Eneo la kazi Bariadi Manispaa Tuma CV kupitia email happyness@gmail.com Click to expand... Dau ??
Elijah O JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 1,127 Reaction score 930 Aug 21, 2025 Thread starter #4 Humbe be said: Dau ?? Click to expand... Malipo mzuri level ya manispaa
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,883 Reaction score 67,334 Aug 21, 2025 #5 Shida watu wanawatumia mnawasumbua
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,669 Reaction score 167,716 Aug 21, 2025 #6 Mtafutano ni mkubwa, maboss wanatafuta wa kuwaajiri, hakuna. Watu wanatafuta kazi hakuna. 🙄
H Humble be JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 3,424 Reaction score 5,860 Aug 21, 2025 #7 Evelyn Salt said: Mtafutano ni mkubwa, maboss wanatafuta wa kuwaajiri, hakuna. Watu wanatafuta kazi hakuna. 🙄 Click to expand... Kwneye hiyo kada ya lya mfamasia huwa wanataka watu wa dau cheap.
Evelyn Salt said: Mtafutano ni mkubwa, maboss wanatafuta wa kuwaajiri, hakuna. Watu wanatafuta kazi hakuna. 🙄 Click to expand... Kwneye hiyo kada ya lya mfamasia huwa wanataka watu wa dau cheap.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,674 Reaction score 193,641 Aug 24, 2025 #8 Kila la kheri, ngoja waje... Cc: Mahondaw