Ujinga ni hali ya mtu kutokujua kuandika au kusoma , labda utumie neno "upumbavu" au " ushenzi " mtu msomi hawezi kuwa mjinga , kwani ujinga ameufuta kwa kiwango cha juu