Hiyo ya MKWE not reachable!!!!! Hata wakwe zangu hawa wa short time huwa hatuiviiii kabisaaaaa ISIPOKUWA KWENYE USHABIKI WA premier league, la liga, seria A, bundensliga, league 1, EUFA. Hapo poamoja sanaaaaa! Kama jmosi MAN alivochapwa, nikasahau kama faza inlaw ni MAN U, Bwana weeeee kidogo ukoo uvunjike! LOL!

hivi ww ni mdada au mama mtu mzima?Hiyo ya MKWE not reachable!!!!! Hata wakwe zangu hawa wa short time huwa hatuiviiii kabisaaaaa ISIPOKUWA KWENYE USHABIKI WA premier league, la liga, seria A, bundensliga, league 1, EUFA. Hapo poamoja sanaaaaa! Kama jmosi MAN alivochapwa, nikasahau kama faza inlaw ni MAN U, Bwana weeeee kidogo ukoo uvunjike! LOL!
hivi ww ni mdada au mama mtu mzima?
nataman nikuone unavyoonekana, manake ...........sijui
Hii nimeitoa kwa vijana kule Facebook nanukuu
FALSAFA YA MWANAMKE
- Mwanaume mkamilifu zaidi duniani ni BABA YAKE
- Mwanaume anayeonewa na kunyanyasika zaidi duniani ni KAKA YAKE
- Mwanaume mzuri na mtanashati zaidi duniani ni MTOTO WAKE
- Mwanaume mwenye bahati na mwenye furaha zaidI duniani ni MUME WA DADA YAKE
- Mwanaume mwenye shukrani zaidi duniani ni MKWE WAKE
- Na mwanaume mkorofi, mbishi, mbinafsi, mwenye roho mbaya, asiyejali na mwenye tabia chafu kuliko wote duniani ni MUME WAKE.
Kuna ukweli hapa? Ngoja nijizuie kwanza kutoa maoni yangu
Hata mie nafikiri hivyo hivyo...hii falsafa itakua made in china....