Tena uko sahihi kabisa mkuu akili za hawa jamaa ziko kushoto kabisa hawana fikira kabisa nje ya box ndo maana harakaharaka anawasemea kila siku!Iyo pctr kwa avatr yako na ujumbe ulio andika mmefanana kabisa
We unapiga goli moja umekuwaFalsa yangu katika kuchagua mechepuko in hii
1# sipendi mwanamke ambaye kabla ya kukwichi kwichi kwanza eti umnyweshe,umlishe,mwisho wa siku kabao kenyewe kamoja tu. ukipiga hesabu umetumia zaidi ya elfu hamsini
Mchepuko wangu ni mama ntilie nikimpa tu elfu tano tu ya kuongezea mtaji wa supu anafrahi sana
Kwanza uyu mama ana watoto watatu lakini iyoo k utafikili sijui ya nchi gani,maana inaukakasi wa hatar ni taaaaam
Kudadadadeki