hahahahahahaKwa hiyo wote ni sawa tu watakupelekea moto kama kawa?
Mimi nimeishia hapo tu, huko chini nimeona sitaelewa zaidi.uliposema man or woman ukanichanganya.
Kwa hiyo wote ni sawa tu watakupelekea moto kama kawa?
Huyu atakuwa na jinsia zote mbiliMimi nimeishia hapo tu, huko chini nimeona sitaelewa zaidi.
Kwahiyo mkuu unataka kusema huyo ni popobawa??Huyu atakuwa na jinsia zote mbili
Mm nimesema tu kama mfanoKwahiyo mkuu unataka kusema huyo ni popobawa??