fake virgin?plz help

Kama unapoanza mahusiano na mwanamke kwa mara kwanza unakuwa na tabia ya kumuuliza "mimi ni mpenzi wako wa ngapi?" basi lazima ukumbane na maswahiba kama hayo! Yaani kuna wanaume wa ajabu sana...unamuuliza mwanamke mimi ni wako wa ngapi unatarajia atakuambia wewe ni wa kumi hata kama alivuka idadi hiyo tangu kidato cha pili?! Atakuambia wewe ni pili, amekuheshimu sana atakuambia wewe wa tatu na ukikutana na ngurubembe kabisa lazima akuambie wewe ni wa kwanza na kukupa bikira ya ndimu!
 
ndimu inafanya damu itoke?makubwa!:shut-mouth:

Nahisi hakikua kitu cha ndimu wala nini.....mtoto kasubiri siku anamaliza MP akambania mapaja na nyonga, kwisha kazi....kitu tightttttt!!
 
yap nlitumia.......hlf kwa wale wanaocomplain kwmb am nt a vrgn kwa defn ya vrgn ofcoz I am...that's y cjamind kudanganywa...yawezkana ngekua player wala ncngelianika.,..
bt thanx

andika vizuri wewe!
 
yap nlitumia....... hlf kwa wale wanaocomplain kwmb am nt a vrgn kwa d efn ya vrgn of coz I am...that's y cjamind kudanganywa... yawezkana ngekua player wala ncngelianika.,..
bt thanx all
Nimeambulia chenga tu hapa, nahisi nahitaji mkalimani hapa!
 
Kwa maelezo yako hapo juu, hapo bikra haikuwepo, aliamua kukudanganya ili pengine uingie na uchukue jumla.
Na mngekutana jumatatu kama alivyopanga yeye, ndio angekupata vizuri zaidi damu ingetoka mwanzoni hivyo usingekuwa na shaka. Alikutayarishia Jumatatu ukaenda J4 hapo timming ya dawa ilipotea kidogo.
Bikra za hivyo Wasomali wanatengeneza sana tu. Pia Tanga baadhi ya maeneo wanazitengeneza pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…