Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,264
- 28,423
Nakumbuka kuitumia kipindi cha nyuma waweza kutukumbusha link yenyewe mkuu.Ipo link unaweza kucheck ama gari inadaiwa kabla hujafanya handover
Tumia hiyo link hapoNakumbuka kuitumia kipindi cha nyuma waweza kutukumbusha link yenyewe mkuu.
AsanteTumia hiyo link hapo
TMS CHECK - Tanzania Police Force
Hapo unaweza kuweka namba ya gari ama leseni ya dereva
Pia waweke na leseni ya dereva aliefanya kosa.Napenda kuishauri serikali iweke utaratibu wa kuziweka mtandaoni faini za madereva wa magari.
Idadi kubwa ya magari yanayoendeshwa na madereva waajiriwa, kutokana na hali hii baadhi ya madereva wanapopigwa faini wao hunyamaza wakijua baadaye hawatakuwa na magari husika, na bahati mbaya magari yenyewe ni ya kupokezana, jambo linalosababisha gari kukamatwa na dereva mwingine na mmiliki kujikuta akilipa faini na riba ya malimbikizo.
Muda umefika sasa kwa serikali kuweka mamba za magari na majina ya madereva mtandaoni ili wenye magari waweze kufuatilia mwenendo wa magari yao na kuondokana na riba za faini.
si madereva tu, hata wakati umemkabidhi fundi kwa marekebisho, na yeye anaweza kulitumia na kufanya makosa, anakukabidhi gari bila kukutaarifu....ni bora kuwa unakagua, hii itaindoa usumbufu sana, asante kwa uliweka link.......@mahole
Hizo taarifa zote zipo kuanzia kosa alilofanya, muda, sehemu, askari aliemwandikia, mpaka namba ya leseni ya aliyefanya kosa ipo tatzo wengi hatujapata elimu ya namna ya kuhakiki maana kuna weng sana wanabambikiwa makosa kutokana na makosa ya uandishi wa kati ya plate namba ama namba ya leseniPia waweke na leseni ya dereva aliefanya kosa.
Mm shapigwaga fain kwa kosa ambalo sikufanya nawauliza wanionyeshe namba na jina ya leseni ya aliefanya makosa wanasema haijawekwa yan ata jina la askar aliepiga hyo fain halipo.
Trafik anapokushika lazima achukue namba ya leseni,namba ya gari
Pia karatasi lazima hionyeshe location ya kosa lilipo fanyikia na jina la hyo trafik.
Finginevyo bdo tunaibiwa.
wengi wana leseni bro, tatizo keshakukabidhi gari, hajakwambia....mara paap umekaguliwa, gari ina makosa, namaba na jina ni fundi wako......gari haiondoki bila kulipwa + penaltyIwapo fundi atakamatwa amefanya makosa na ana leseni inakuwa tu ni kama kosa la dereva mwingine ILA kama hana leseni basi yeye fundi na gari wanawekwa chini ya ulinzi hadi mwenye gari aje kuchukua gari yake.
Weka hapa link hiyo vinginevyo haujasaidia mada.Ipo link unaweza kucheck ama gari inadaiwa kabla hujafanya handover
Wewe pia hauijui hiyo link! Kama unaijua kwanini iwe siri yako!Hizo taarifa zote zipo kuanzia kosa alilofanya, muda, sehemu, askari aliemwandikia, mpaka namba ya leseni ya aliyefanya kosa ipo tatzo wengi hatujapata elimu ya namna ya kuhakiki maana kuna weng sana wanabambikiwa makosa kutokana na makosa ya uandishi wa kati ya plate namba ama namba ya leseni
Acha kukurupuka soma post #5 nimeweka link tangu asubuhiWewe pia hauijui hiyo link! Kama unaijua kwanini iwe siri yako!
Acha kukurupuka soma post #5 nimeweka link tangu asubuhiWeka hapa link hiyo vinginevyo haujasaidia mada.
Link hii hapaTumia hiyo link hapo
TMS CHECK - Tanzania Police Force
Hapo unaweza kuweka namba ya gari ama leseni ya dereva