Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,367 Oct 16, 2011 #1 Kwa mara ya kwanza jukwaa limekaukiwa na habari nyeti. Leo ni nusu fainali ya kombe la Dunia kwa mchezo wa raga (rugby) kati ya New Zealand na Australia. New zealand wanaongoza mpaka sasa 17 dhidi ya australia 6
Kwa mara ya kwanza jukwaa limekaukiwa na habari nyeti. Leo ni nusu fainali ya kombe la Dunia kwa mchezo wa raga (rugby) kati ya New Zealand na Australia. New zealand wanaongoza mpaka sasa 17 dhidi ya australia 6
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,683 Oct 16, 2011 #2 najua afro d yupo uwanjani
Aza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2010 Posts 1,700 Reaction score 236 Oct 16, 2011 #3 i like new zealand,ausrtalia imeshikwa pabaya ila ngoja dk ndio mwamuzi
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,367 Oct 16, 2011 Thread starter #4 New Zealand 20 Australia 6 dakika ya 73
Ngambo Ngali JF-Expert Member Joined Apr 17, 2009 Posts 3,517 Reaction score 1,367 Oct 16, 2011 Thread starter #5 mchezo umekwisha New Zealand 20 Australi 6, Kukutana na ufaransa katika mechi ya mwisho ambao wanaonekana ni vibonde kwa New Zealand
mchezo umekwisha New Zealand 20 Australi 6, Kukutana na ufaransa katika mechi ya mwisho ambao wanaonekana ni vibonde kwa New Zealand
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,351 Oct 16, 2011 #6 Mi tangu boks watoke mzuka umekata kabisa, ingawa zilikuwa hujuma za refa!
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,496 Reaction score 11,507 Oct 16, 2011 #7 Aise All Blacks wame deserve kusonga mbele, pack yao ilikua na nguvu zaidi, walikua sharp na ferocious, kiu jumla waliwazidi Ausies kwa kila kitu! Fantastic semi!
Aise All Blacks wame deserve kusonga mbele, pack yao ilikua na nguvu zaidi, walikua sharp na ferocious, kiu jumla waliwazidi Ausies kwa kila kitu! Fantastic semi!