Karibu mkuuMmh hii inafaa hata kuotesha hata kwenye kabustani kako nyumbani kama ipo...haina mambo mengi sana..Asante mtoa mada
Shukrani sana..
Mi naipenda sana...tena nachanganya na nyama...Mboga Nzuri sana hiyo natamani hata leo nikiipata nitagonga ugali balaa ila huku kwetu Hakuna
Tumia ya samadi, ni nzuriOk.. Umesema "weka mbolea ya kutosha..." ni mbolea gani, samadi au ya viwandani? Na je, haihitaji madawa ya wadudu?