Faida ya maisha ni nini? Kwanini mtu anaangaika kufanya kazi ili apate pesa, akisha zipata azitumie au ziishe au atafute nyingine zaidi. Kuna manufaa gani ya ajabu au raha gani ya ajabu inayowafanya watu waangaikie maisha?
Sent using
Jamii Forums mobile app