Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,946
Nimewanunua jana dagaa wabichi wa buku wakakaangwa,ngoja niwaamkie sasahivi wanikome.
Dagaa hawana madhara kwa vidonda vya tumbo.Mkuu mimi ninayo dawa ya kuweza kukutibu Vidonda vyako vya Tumbo aka Stomach ulcer kwa muda siku 30 unapona kabisa na kula chakula unacho hitaji ukihitaji dawa yangu nipate kukutibia Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Dagaa wana madhara kwa watu wenye vidonda vya tumbo??