Ashura9 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 740 Reaction score 485 Mar 15, 2016 #1 Faida 7 za Juisi ya Nyanya 1 . Husaidia kuulinda mwili dhidi ya kolesteroli 2 . Juisi ya nyanya ina kiasi kingi cha vyanzo vya vitamini A na C 3 . Faida nyingine kubwa ya juisi ya nyanya ni uwezo wake katika kukusaidia kupunguza uzito uliozidi mwilini. 4 . Kama kuna juisi nzuri kwa mwili basi ni juisi ya nyanya, na ndiyo maana nyanya ni kiungo kwa karibu kila mboga jikoni. 5 . Juisi ya nyanya pia ina kiasi kingi cha Vitamini B6 6 . Juisi ya nyanya huondoa sumu kwa urahisi zaidi mwilini sababu ina kiasi cha kutosha cha klorine na sulfur 7 . Rangi nyekundu katika nyanya ni matokeo ya kimiminika mafuta kiitwacho ‘lycopene’ ambacho kazi yake kuu ni kuondoa sumu mwilini.
Faida 7 za Juisi ya Nyanya 1 . Husaidia kuulinda mwili dhidi ya kolesteroli 2 . Juisi ya nyanya ina kiasi kingi cha vyanzo vya vitamini A na C 3 . Faida nyingine kubwa ya juisi ya nyanya ni uwezo wake katika kukusaidia kupunguza uzito uliozidi mwilini. 4 . Kama kuna juisi nzuri kwa mwili basi ni juisi ya nyanya, na ndiyo maana nyanya ni kiungo kwa karibu kila mboga jikoni. 5 . Juisi ya nyanya pia ina kiasi kingi cha Vitamini B6 6 . Juisi ya nyanya huondoa sumu kwa urahisi zaidi mwilini sababu ina kiasi cha kutosha cha klorine na sulfur 7 . Rangi nyekundu katika nyanya ni matokeo ya kimiminika mafuta kiitwacho ‘lycopene’ ambacho kazi yake kuu ni kuondoa sumu mwilini.
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,639 Reaction score 47,717 Mar 16, 2016 #2 Zamani nilikuwa napendaga tu kula nyanya ( sio juice) ila baadae niliacha huo utaratibu. Itabidi nianze juice yake sasa.
Zamani nilikuwa napendaga tu kula nyanya ( sio juice) ila baadae niliacha huo utaratibu. Itabidi nianze juice yake sasa.
manjanjagara Member Joined Apr 22, 2013 Posts 62 Reaction score 40 Mar 16, 2016 #3 Nthng to add when you make it
PRINCEHOPE Member Joined Aug 28, 2013 Posts 92 Reaction score 67 Mar 16, 2016 #4 Vip sumu zinazopigwa wakati zipo shambani, pia imehusishwa na kutunza vimelea vya typhoid, niweke wazi kuniondolea hofu ya kuitumia
Vip sumu zinazopigwa wakati zipo shambani, pia imehusishwa na kutunza vimelea vya typhoid, niweke wazi kuniondolea hofu ya kuitumia
Ashura9 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 740 Reaction score 485 Mar 16, 2016 Thread starter #5 PRINCEHOPE said: Vip sumu zinazopigwa wakati zipo shambani, pia imehusishwa na kutunza vimelea vya typhoid, niweke wazi kuniondolea hofu ya kuitumia Click to expand... Osha matunda na mboga zako kama ifuatavyo: 1. Kinga maji kwenye beseni 2. Tia chumvi kiasi 3. Loweka nyanya au matunda kwa dakika 10, then osha 4. acha yakauke 5. kata kula au tengeneza juisi
PRINCEHOPE said: Vip sumu zinazopigwa wakati zipo shambani, pia imehusishwa na kutunza vimelea vya typhoid, niweke wazi kuniondolea hofu ya kuitumia Click to expand... Osha matunda na mboga zako kama ifuatavyo: 1. Kinga maji kwenye beseni 2. Tia chumvi kiasi 3. Loweka nyanya au matunda kwa dakika 10, then osha 4. acha yakauke 5. kata kula au tengeneza juisi
PRINCEHOPE Member Joined Aug 28, 2013 Posts 92 Reaction score 67 Mar 17, 2016 #6 Oh, thax a lot ndugu
S shabaan Dogo Senior Member Joined Apr 27, 2014 Posts 196 Reaction score 82 Mar 17, 2016 #7 Lakini sitakua sawa na kachumbali tu. Au inaufundi zaidi ktk kuitengeneza? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Lakini sitakua sawa na kachumbali tu. Au inaufundi zaidi ktk kuitengeneza? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums