Faida 2 ukioa demu bikira...

mkuuu unahitaji bikra nikutafutie
 
sijui hata umewaza nini....,

mitaa ya home kwangu kuna beki 3 anayo hiyo kitu imekomaa natafuta msaada mtu anitolee tu ili niedelee sitaki shida MV mie
 
Faida zipo nyingi sana nani aNataka kula makombo?
 

ilikuwa NI enzi mwalimu ,bikira sasa ni za kichina,ukimpata mazingira mabovu yatambadilisha,afu ndo karne ya utandawazi wanawashwa ,cha msingi fanya BOOKING NURSERY
 
Nimekuelewa sana mtoa mada...ila ni ngumu kupata bk
 
sijui hata umewaza nini....,

mitaa ya home kwangu kuna beki 3 anayo hiyo kitu imekomaa natafuta msaada mtu anitolee tu ili niedelee sitaki shida MV mie

kaka unapanda mnazi kwa mkono nin mpak bikra yakushinda?
 
Hivi nyie mnaosema bikra sikuhizi hakuna au ziko chache, mnamaanisha zinatoka wakiwa tumboni! Ahaa wapi bikra zimejaa zakumwaga sema nyie wenyewe ndio mnapenda miteremko nandio maana hamkutani nazo, sisi wasugua bench tunapata zakumwaga hasa huku pange za gomz


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
za kichina
 
Bikira zipo tu faida ni nyingine unamfundisha kama unavyotaka na anafundishika....samaki mkunje angali mbichi.
 
Labda bikra ya macho lakin otherwise scraper tupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…