Faida 160 Ya mafuta Nazi Dawa ya kila aina ya Maradhi mwilini mwako

Ni sahihi Paloma wangu hujambo bibie?

sijambo bwana MziziMkavu waonaje hali?!

nimeshatumia saaana mafuta mwali ya nazi kwenye nywele na ngozi yangu.....kwakweli ni mazuri sana! sana! sana! nywele inakuwa nyeusi nzuri na zenye afya...hata kama umezikaanga na madawa ya saloon! Ngozi ya mwili ndio usiseme haswa ukitia na sukari!!!
bado sijaweza kunywa tu....sijui kama ntaweza...olive oil will be enough!!! mhhhhhh..........
 
Hapa napata shida kuamini. Ni wataalamu hao hao wanasema Nazi ni kati ya mimea yenye Lehemu kwa kiwango kikubwa. Iwaje ikawa na uwezo wa kupunguza Cholestral. Hebu tupe kitaalamu inafanyaje kazi?
 
Hapa napata shida kuamini. Ni wataalamu hao hao wanasema Nazi ni kati ya mimea yenye Lehemu kwa kiwango kikubwa. Iwaje ikawa na uwezo wa kupunguza Cholestral. Hebu tupe kitaalamu inafanyaje kazi?
Kilichosemwa hapo na maji ya nazi yaani (Coconut water...!
) Sio Mafuta ya Nazi jaribu kutofautisha kati ya mafuta ya nazi na maji ya nazi Mkuu Mtali
 
Unapaswa kunywea kijiko cha chai au cha chakula?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…