Hicho kitabu kinazungumzia Jehanamu na siyo kuzimu, watu mnachanganya Sana, kuzimu inaitwa -hades au abyss Kwa kiingereza, Jehanamu ndo inaitwa hell, kuzimu hakuna moto, ni makazi ya Shetani na mapepo tu.
Jehanamu ndo kuna moto.
muwe mnasoma lugha kwanza za watu kabla ya kuweka topic Kwa kujiamini .