Jaribu kuulizia supermarket yoyote iliyo karibu nawe au kwenye maduka ya vyombo
Naona unalivalia njuga ilo swalaLambalamba ya embe umesema maembe matatu na mtindi vikombe vitano,swali kwa haya maembe matatu na vikombe 5 vya mtindi naweza kupata lambalamba ngapi?
Hahahaaaaaaaa, ondoa shaka mkuu nitakualikaNaona unalivalia njuga ilo swala,ukifanikiwa utuite tujilambe
Kwa wahitaji wa popsicle mould mje nauza 6 ina matobo manne na sita
Weka na bei ndugu