E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 25,977 Reaction score 25,303 Apr 9, 2025 #21 Wilaya ya Serengeti? Mtanabawa ya Imboru Mongowamono Kideru Endadubu ya Bashai barai ya Eda na Dirimu ya Eshkesh na Endanyawish bawa bawa!!!
Wilaya ya Serengeti? Mtanabawa ya Imboru Mongowamono Kideru Endadubu ya Bashai barai ya Eda na Dirimu ya Eshkesh na Endanyawish bawa bawa!!!
kwaku the traveler JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 308 Reaction score 853 Apr 9, 2025 #22 "Kabila hili linapatikana mkoani MANYARA, Hasa katika wilaya ya SERENGETI" Hivi huko Manyara Kuna wilaya inaitwa Serengeti?
"Kabila hili linapatikana mkoani MANYARA, Hasa katika wilaya ya SERENGETI" Hivi huko Manyara Kuna wilaya inaitwa Serengeti?
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,301 Reaction score 27,067 Apr 9, 2025 #23 View: https://vm.tiktok.com/ZMBXCy99H/ Mbona ugali hujasema kama chakula chao pia?
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,218 Reaction score 41,803 Apr 9, 2025 #24 min -me said: Kiukwel huwa nina vutia na maisha yao mno , na wana afya njema sana na mda wote wapo na furaha na kushirikiana sana. Click to expand... Unatamani na wewe ungepata bahati ya kuishi kama wao?
min -me said: Kiukwel huwa nina vutia na maisha yao mno , na wana afya njema sana na mda wote wapo na furaha na kushirikiana sana. Click to expand... Unatamani na wewe ungepata bahati ya kuishi kama wao?