Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,099
- 60,809
Niliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheapKweli tukiweza fanya packaging nzuri,grading pia tunaweza tukishirikiana kungana vichwa vyote pamoja hakishindikani kitu....
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Safi sana....kweli vanilla iko juuNiliulizia bei ya vanilla Tanzania bei ilinishtua sana kwani ilikuwa very cheap
Yaani kg Sh 300,000-3.5
Ikabidi nifuatilie ya Madagascar ndio tunanunua zaidi lakini bei yake ni ya juu sana ingawa haina longolongo unaagiza mzigo unatumiwa bila ujanja ujanja
Tatizo letu maneno mengi utekelezaji zero
Nilituma e-mail moja tu Madagascar within two hours nilitumiwa details zote kuanzia grade, bei na mpaka usafiri pamoja na copy za certificates zote na wateja wake wakubwa pia
Kujihakikishia hana kona kona akanialika pia kwenda huko
Sent from my SM using Tapatalk
Niko nchi ya nje na ukiangalia vanilla ni zao la ghali sana na usafirishaji ni rahisi sana (kwa ndege)Duh Safi sana....kweli vanilla iko juu
Nlifatiliaga kidogo sana ila sijawahi ku deal nayo...ni sina uzoefu nao sana
Vp masoko yake yako vizuri
Ni kweli watz huwa tunaishia kupiga domo matendo zero
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mtupuNiko nchi ya nje na ukiangalia vanilla ni zao la ghali sana na usafirishaji ni rahisi sana (kwa ndege)
Wao wanauza kwa US $ 580 kwa kilo moja ambayo sio mbaya tunapata faida
Sasa fikiria tungekuwa na walimaji wa uhakika Tz na kuwa na msimamo haswa wa kufanya kazi nafikiri tungefika pazuri
Kila la kheri mkuu
Sent from my SM using Tapatalk
Zzzmzizxizznz9xxu z0bxbumzHiliki inatumika kutengeneza nini?
Endelea tu.Zzzmzizxizznz9xxu z0bxbumz
Duh bei ni 14000 mpk 15000 sahv kununua!
Hao waliwapiga labda wameona mlitaka ya matumizi binafsi
Ova
Mkuu nitumie namba yako ya simu tuonge kuhusu hiliki
0715591141 nipigie saa nne sahv kdg hatutaelewana hapa mzee .....karibu
Shukran... haina shida nitakupigia tuonge ahsante sanaa
hiliki ya kijani jee.... unayoIriki nyeusi sijawahi kutana nayo mkuu
Labda ktk mizunguko yngu mbeleni ntakuja kugumiana nayo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwasiliane KeshoHi
hiliki ya kijani jee.... unayo
Sawa mkuu ila naomba bei kwa kilo kujua maana niko na mwenzangu hapa tunajadiliana na zote zinazolimwa tanzania ama??Tuwasiliane Kesho
Nnazo iliki zote
Ova
Kesho npigieee sahv nko sehemuOk nipe bei
Sawa mkuu ila naomba bei kwa kilo kujua maana niko na mwenzangu hapa tunajadiliana na zote zinazolimwa tanzania ama??
Kaka umefikia WAP kuna jambo naomba unisaidie tafadhaliKwanza kabisa ni mshukuru mungu kwa kutujalia uzima (mimi na wewe).
Lengo la kuandika hii tread ni kwamba natafuta bosi ambaye ananunua iliki, hii ni baada ya kuuza hili zao kwa bei ya chini sana kwa madarali.
Hivyo naitaji tajiri wa uhakika ili tuweke bond na kumuuzia izi mbegu, moja kwa moja badala ya kutegemea madarali.
Na kama wewe unaye soma hii thread sio Tajiri, lakini kuna mtu unamfaham (mnunuzi) itakuwa powa ukanipa contacts zake kwaajiri ya mawasiliano.
Kuusu bei na jinsi ya kuupata mzigo, tupia namba inbox kwaajiri ya mawasiliano.
Tafadhali usipuuze sio Kiki, pia utani na lugha za kuudhi sio mahala pake.