Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

. Je wadau vipi kuhusu machine za kutengenezea kwa hapa bongo zinapatikana wapi hasa?
mashine ndio inasumbua mkuu, nilielekezwa mlimani city ila zilizokuwepo kipindi nimeenda zilikuwa ni zile za kujitengenezea mwenyewe nyumbani.
Nikifanikiwa mashine nitakujulisha na mchakato mzima ulivyo.
 

Bold: Sikumbuki hata siku moja nilipoenda pale nisibadilishane kauli tata(nikimtetea asali wangu kwa kucheleweshea huduma) na hao frontliners.. Kumbe ustaafu upo wa aina nyingi.THTHTHHHH...:becky:
 
Nataka kuanzisha kutengeneza popcorne naomba kujua bei ya mashine mpya. Asanteni
 
350-450......zile kubwa kabisa zinaenda mpka milioni...inategemea unataka yenye ukubwa gani
 
Kaka nataka saizi ndogo tu ntashukuru ukiniambia bei tofauti tofauti yani hizi za saizi ya kati
 
Tupeni bei na jamani, hata mimi nahitaji, biashara hiyo huku inalipa sana sana. Please brand tofauti na bei zake.
 
Wakubwa naona wanatutakia mema biashara inalipa tunamba bei zake wakuu!
 
kama unataka mashine ndogo,ingieni amazon.co.uk,kwenye search,weka popcorn maker,angalieni bei,kama mpo interest,ni pm,nitawasaidia.kuna watu humu nimeshawahi kuwanunulia vitu,na kuwapostia,bila ya mimi kuongeza hela yoyote ile
 
kama unataka mashine ndogo,ingieni amazon.co.uk,kwenye search,weka popcorn maker,angalieni bei,kama mpo interest,ni pm,nitawasaidia.kuna watu humu nimeshawahi kuwanunulia vitu,na kuwapostia,bila ya mimi kuongeza hela yoyote ile

mkuu if ur serious plz tuambie bei ya juu na ya chini au ya kati. kulia lia kila siku selikali imekali ajira na uzee unatuita ni umbumbu fanya hivyo dada tunakuomba sana mkuu na mola atakujaaria.
 


Wadau bei hizi hapa:
1. Hiyo yenye picha na matairi: USD 234.
2. Mid-size haina matairi: USD 126.
3. Kubwa zaidi haina matairi: USD 903.

Hizo ni bei za rejareja, kama unataka nyingi nawezakupa bei ya jumla pia.
Serious buyers tuwasiliane. Picha cheki site (www.g12.hk) yetu utaona details zaidi.
 
Mkuu G12 asante sana kinacho nichanganya hizo bei hatujui kama ni za juml ama reja reja maana nahitaji kama mbili hivz za bei ya kawaida harafu hizo bei ni kama za huko huko nje je kama nahitaji kununua on line inawezekana? Nifahamishe mkuu au nawezg kuzipata hapa hapa dar? Pamoja sana mkuu tusaidie nadhani tupo weng tunaohitaji asante.
 
kaka if ur serious plz tuambie bei ya juu na ya chini au ya kati. kulia lia kila siku selikali imekali ajira na uzee unatuita ni umbumbu fanya hivyo kaka tunakuomba sana mkuu na mola atakujaaria.
samahani,mimi sio kaka.wewe ingia www.amazon.co.uk kwenye search,andika popcorn maker,bei utaziona mwenyewe.sitii faida ndio maana nimekwambia,ingia mwenyewe uone
 

Mdau, hizo bei ni za reja reja, za jumla huwa zinakuwa pieces nyingi sana mkuu. Kwa piece 2 bei itakuwa hiyo hiyo.

Hizi bei ni za hapa mjini(nje ya nchi), gharama za utumaji + ushuru ni ndogo sana mkuu. Kwa vitu kama hivi tunacharge USD300 kwa CBM(cubic metre) hizo ni gharama za ushuru+usafiri. Ikiwa una fedha ndani ya wiki hii nitakucharge USD250 kwa CBM, next week, hakuna hiyo ofa, then nakutumia mzigo, wewe unakwenda kuuchukua tuu kwa agent wetu hapo Tanzania, Dar.

Hatuna stock Dar za vitu kama hivi ndugu. Tunatoa service za IT n.k hapo Dar.

Chagua bidhaa unayotaka then ujipange tuone tunakufikishia vp mzigo wako.

Nashauri tuwasiliane kwa e-mail zetu, cheki kwenye website yetu(www.g12.hk)

Nadhani nimesomeka vizuri.
 

Sina data za CBM kwa hilo lenye matairi, lakini kwa makadirio pieces (zikiwa zimefungwa kwenye box) 6 hadi 8 ndio zinawezakuwa 1 CBM, hivyo kwa mahesabu ya haraka ni kwamba unawezaongeza USD38 katika bei nilizotoa hapo ili uweze kulipia usafiri+ushuru. I think ina make sense. Anyway, changanua mwenyewe then fanya maamuzi.

Tafadhali tembelea webiste yetu(www.g12.hk) kwa details zaidi.
 
Mkuu G12 asante sana mkuu nashukuru bei ni poa sana cha msing ni mikakati itakuwaje katika kuipata ila najua sioni kama itakuwa shida ngoja nioganizi na jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…