Naomba nieleweshwe hapa ina chibwa kama madini au inategenezwa kwenye mfumo wa software nakama ina chibwa nishatigani inatumika kutegnezaMatumizi ya nishati: Uchimbaji wa Bitcoin, mchakato unaotumika kuunda Bitcoins mpya, hutumia nishati nyingi. Hii inaleta wasiwasi kuhusu athari za mazingira za Bitcoin.
bitcoin kitaalam ni file tu kana file lingine kwenye computer, ila ndan ya hilo file linatunza details Kadhaa, (SHA-1), kuchimba ni neno tu ila process nzima ni kucreate file lipya ama bitcoin mpya ndo inaitwa miningNaomba nieleweshwe hapa ina chibwa kama madini au inategenezwa kwenye mfumo wa software nakama ina chibwa nishatigani inatumika kutegneza
Sasa unaposema inatumia nishati nyingi na kuchafua mazingila unamaanisha ninibitcoin kitaalam ni file tu kana file lingine kwenye computer, ila ndan ya hilo file linatunza details Kadhaa, (SHA-1), kuchimba ni neno tu ila process nzima ni kucreate file lipya ama bitcoin mpya ndo inaitwa mining
Google translationSasa unaposema inatumia nishati nyingi na kuchafua mazingila unamaanisha nini
Naomba unifafanulie nielewe kidogo nime google ila bado sijaelewa nimeenda chatgt wanieleweshi kwa lugha zote mbili lakihichi alichosema jamaa kuhusu nishati sijaelewaGoogle translation
Sasa unaposema inatumia nishati nyingi na kuchafua mazingila unamaanisha nini
Okay nimekuelewa kwaiyo ipo kuna room ya computer nyingi ambazo zina run kutumia nishatiprocess ya mining iko ivi: mnakua mpo wengi mnagombania kuguess sentensi sahihi, tuseme sentensi halisi ni
JAMII FORUM NI MTANDAO WA TANZANIA KWA WATANZANIA, wewe na computer yako unapewa neno JA..........WATA....
unatakiwa uguess wa kwanza sentensi sahihi, ukipata sentensi sahihi wa kwanza unapewa reward ambayo ni bitcoinmpya, hua ni around 3BTC as a reward, sasa ili kua wa kwanza unatakiwa uwe na mashine nyingi zenye nguvu sana, apo ndo swala la umeme linakuja
View attachment 2993478
mamishine yenyewe ndo kama haya, hiini kmapuni moja zpo nyingi wote wanagombania! overall dont take BTC serious sana its a scam project ila pesa ipo