Faculties Kwa mtu wa CBG.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,782
Reaction score
31,298
Wakuu samahani naomba kujua ni faculties zipi ataweza omba mtu wa CBG akimaliza form 6?Hasa Kwa kuzingatia masomo ya Chemistry na Biology.
Asanteni.
 
Unataka kusoma Faculty au unatak kusoma Course/Fani/Program.
 
Zipo nyingi tu ila kwa mfumo wa saiv hao wanaweza zaidi kusoma fani za kilimo na Education. But zipo nyengine ambazo wanakubalika
 
Wakuu samahani naomba kujua ni faculties zipi ataweza omba mtu wa CBG akimaliza form 6?Hasa Kwa kuzingatia masomo ya Chemistry na Biology.
Asanteni.
Kwanza kama yuko tanzania basi asahau kabisa medicine na pharmacy. Pili kilimo, geology (kama akiwa na one, udsm walikua wanawapokea ila sio kwenye uhandisi wa geology) , ukunga, nesi, education na kozi nyingine za biashara na jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…