FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

Mbona hao walioandika na kusoma Bibilia tangu mwanzo hawakugundua hivyo vitu?
Wao walikuwa wanashughulikia Moral part of life. Labda tuwape credits wazee wa R&D wa israel maana kwa maneno hayahaya wanaongoza karibu kila sehemu wanayofanya utafiti. Mfano tu kwa kukumbuka wale nzige waliokula mashamba ya Wamisri Katika mapigo saba Ya Farao. Leo vijana wao wako kwenye R&D ya Nanolobotic Grasshopper which will transform the fuiture of the world.
 
Hii ndio summary ya dunia. Unaweza kuifanyia research miaka zaidi ya 100 bila kuimaliza
Mfano:

1In the beginning God created the heavens and the earth.
Hapo tu: BEGINNING - Start of time,
HEAVENS: - Universse/space
Earth - Matter

TIME
Past, Future and Present
SPACE
Length, Width, Heights,
MATTER
Solid, Liquid and Gas

Mkuu hapo tu kwenye ulimwengu wa sayansi hawajapamaliza, walichikifanya ni kama 1/100000000000000000000.
The bible is the origin of Science
 
Kwa mfano mke wako akiugua kifua kikuu, je utampeleka kwenye maombi au utampeleka hospital?
Acha uswahili hapa mambo yanajadiliwa kwa mtazamo wa sayansi. Huyo Unampa Miti shamba tu kama Mungu alivyomwambia ISAYA atumie tini kumponya mfalme ezekia majipu. Pia Tunae DR Luka mwandishi wa kitabu cha Luka na Matendo ya Mitume. FAITH DOES NOT IGNORE MEDICATION, BUT THE ADVANTAGE IS THAT YOU HAVE WIDER RANGE OF POSSIBILITIES.
 
Bible inakinzana na Sayansi, hivyo imewajengea watu hofu ya kushindwa kufanya utafiti duniani.
Waumini walio wengi wanaamini kuwa kuchunguza dunia ni kumchunguza Mungu pia,

Hivyo Bible inarudisha nyuma technology
25 Famous Scientists Who Believed in God
Bibilia inahamasisha kuchunguza kazi za uumbaji maana kupitia hizo Zitakufanya kuwa sugu kiimani.
Newton, Galileo, Einstain, Marcon, Boyle k na wengine wengi waliamini Mungu kwa kiasi flani na UUMBAJI. Tatizo kuna watu wamevamia Bibilia na kutaka kuendesha wanadamu wenzao kama ng'ombe.
 
Nyie huwa hamkosi cha kusema pindi mnapobananishwa, mnaona mpo 100% kwa usahihi.Unakumbuka kifo cha Galileo?
 
Bible inakinzana na Sayansi, hivyo imewajengea watu hofu ya kushindwa kufanya utafiti duniani.
Waumini walio wengi wanaamini kuwa kuchunguza dunia ni kumchunguza Mungu pia,

Hivyo Bible inarudisha nyuma technology
Tamko lako hili ni hatari sana. Ikithibitishwa humu kuwa Biblia na sayansi hazikinzani utakuwa umeuawa kielimu. Tofauti ya sayansi na Biblia kwa mtazamo wangu ni kuwa Biblia inampa Mungu uwajibikaji wa chanzo cha maisha ulimwenguni yaani chanzo cha mwanadamu, wanyama na viumbe vyote vyenye uhai. Sayansi haitambui chimbuko hilo la kimungu. Sayansi inakata muunganiko kati ya Mungu na uhai duniani. Biblia inasema kwa kila kitu Mungu kwanza. Mungu ndiye Alpha na Omega. Niseme tu wanachokisema sayansi leo Mungu alikwisha kisema ama kukiona kale kabisa hata kabla ya kuwekwa kwa misingi ya Ulimwengu.
 
Bro uko sahihi lakini unazungumziaje newton aliye soma bible akasema kuwa ishu ya utatu wa Mungu si kweli!!? Japo ipo kwenye bible humo humo.
Mwenzio ali itumia Bible kama kitu tu cha kucheki vitu vinavyo mfaa na visivyo mfaa hakufuata.
Hata jana nilikwambia kuwa kwenye vitabu 72 vya biblia huwezi kosa vitu vya kukusaidia kupata reality kwa sababu unacheza na tafsiri pia unaweza kuchukua one line kama ulivo fanya halafu uka husianisha tuu.
But bado hiyo haijalishi kuwa eti ndio Mungu aliyasema hayo au ndio ni kweli Mungu yupo.
 
Nyie huwa hamkosi cha kusema pindi mnapobananishwa, mnaona mpo 100% kwa usahihi.Unakumbuka kifo cha Galileo?
Ni makosa kuamini kuwa uko sahihi 100% maana itakujengea kiburi na inaua appetite ya kujifunza na kuexplore the palatable word of God, Neno lenyewe limekaa indirect ili ulichimbe saana so Nakuelewa.

Turudi kwa Galileo. Ukizama ndani zaidi Utagundua ilikuwa ni VITA YA WANASAYANSI . Galileo alipigwa fitna na wanasayansi wenzake waliokuwa anapingana nao. Ndio maana wakapenyeza uzushi kwa papa kuwa kama jamaa akiachwa atasababisha machafuko. Lakini ukumbuke alihukumiwa mahakamani ila pia siku chache kabla ya kuhukumiwa alikuwa anataka kupewa tuzo na utawala wa kanisa. Zama kidogo utagundua vingi. Hili mimi nimelijua this week kapla ya hapo niliamini kama wewe. Nadhani ndio maana hakufungwa jela alikuwa kifungo cha nje tu na kuzuiwa kuendeleza kazi zake kwa kiasi flani.
 
Uchoeleza sii kwel.Hivi unajua kuwa Bible meandika Jua ndilo linaloizunguka Dunia?
 
Kwa hiyo umekiri kwamba wapo waumini(walio wengi) wanaamini kuijua sayansi in Deep, ni kujiweka mbali na Mungu(kukufuru)?
Bibilia imetoa options zote, Kusomewa bibilia kumewafanya wanadamu kuwa watumwa wa wanadamu wenzao

 
Uchoeleza sii kwel.Hivi unajua kuwa Bible meandika Jua ndilo linaloizunguka Dunia?
Mkuu hapa vita vilikuwa nje ya bibilia, Read take time to read.
Aristotle (384-322 B.C.) aliamini Dunia ilikuwa ni stationary round with finite universe, Kumbuka Dola la kirumi (Roman empire) lilikuwa linawaapreciate wagiriki kiasi kwamba waliiga kila kitu na Greece philosphy ikawa ni roman philosophy, Na ukumbuke warumi wote wakati huo kitu chochote kule ikiwemo sayansi na hekima waliangalia Aristote anasemaje. Ulipokuja utawala wa warumi waliojiusisha na dini wakina Orion, Augustine na crement kosa walilolifanya ni Kuunganisha Philosophy(Greece), Culture na Theology. Na Mtu wa kwanza kabisa kuathiliwa alikuwa Copernicus baada ya kufungiwa kitabu chake na Galileo kuendeleza His findings. Sasa walikuwepo wanasayansi wengi waliendeleza fikra za Aristote na ikumbukwe were partialy imbeded in catholic theology na Culture. Hapo ndipo walipopata ground ya kumpin na kueneza uchochezi kwa Galileo ambaye yeye aliamini katika Mungu pia. Sasa hapa ndio unapata ideo ya kusingiziwa kuleta machafuko na Wanasayansi wafuasi wa aristotle wakapatia hapo mteremko.

Katika bibilia ni Mahali pamoja inaelezwa jia lilisimamamishwa na Mungu ili JOSHUA aamini anachoambiwa na Siku iwe ndefu ili vita viendelee. Kwa Lugha nyingine Hili jua lilipofika saa sita mchana halikuenda magharibi(VISUALLY) lakini Mwenye alijua alichokifanya na kinajulikana leo nini kilifanyika.

 
Umehangaika kuandika vitu vya uongo na usivyovijua pengine.Yaani kitu kimeandikwa kwenye Bibilia halafu unasema eti kilikuwa nje ya Bibilia?....Hata aibu huoni?

Ili kusimamisha kitu lazima kiwe kwenye motion, sasa kama Mungu alisimamisha Jua inamaana Mungu alijua kwamba jua ndilo linaloizunguka dunia ili hali mi kinyume hake.......Kumbe Bible inawezakuwa ushahidi tosha wa kuwa Mungu siyo muumbaji wa ulimwengu.
 
Nakupata ICEman 3D. mawazo mazuri, Katika bibilia kuna vitu vingi ambavyo vinahitaji continous study (Ni kama mto utiririkao). Ndio maana nilimwambia mdau Chamilton
" The bible is simple for a child to read and understand and deep enough for scholars to reach the bottom"
Vitabu 66 (27 Agano jipya na 39 la kale) ndivyo vinavyokubalika ktk ulimwengu wa wakristo na wayahudi (kuweka kumbukumbu sawa) Ila tusiende huko tukaamisha mjadala.

Hata wewe Ukichukua mstari mmoja tu wa bibilia unaweza kubadilisha maisha yako milele. Hapa Tunazungumzia Bibilia na Science. Ingawa ulihoji uhalali wa maandiko yenyewe uwepo ila leo tena unahoji Utumiaji wa Maandiko hayo hapa unaonyesha lack of consistence katika kuleta changamoto. Mimi ninachokiona kwenye bibilia ni kama Mtu Ujenge nyumba ya ajabu na technology yajuu na gharama kisha team ya wavumbuzi wakakutana nayo wakati wa utafiti. Kisha kila mmoja akaanza kuchunguza Tiles, Madini yaliyotumika, Material ya Paa, Bustani zimewekwa kwa combination ipi ya mbolea. Mimi ndivyo nionavyo wanasayansi wanafanya ingawa huyo mwenye nyumba ameshawaadithia vingi sana. Na wewe kama ukitaka kufanikiwa kwenye career yako tembelea mule kwenye kitabu hutatoka bure.
 
Mkuu kumbe kukomaa kote unatafuta njia na ground ya kujusfty vitu unavyoviamini
"God is known by nature in his works, and by doctrine in his revealed word."
Galileo galilei, His inversion was stimulated by the advice of God to explore nature including what happened with Gideon. Reading it needs Thinking .
Na hapa ndipo alipompoteza mtu anaitwa aristotle na wafuasi wake ambao hadi leo wametapakaa humu.
Mfano; aliwahi kuwadharirisha mbele ya adhara pro-aristotle alivyodemonstrate kuwa bodies of different weights fall with the same speed. Chuki ya kuaibishwa haikuwa ndogo.
 
Mkuu usiniwaze kwa ubaya kwamba nataka kupinga uumbaji wa Mungu(ninafahamu fika hapa sii mahala pake), ninachokataa ni hoja uliyoileta kwa sababu mbili[ingawa zipo zaidi]
1.Kwa nini walioiandika na kuisoma Bibilia tangu mwanzoni hawakugundua hivyo vitu?

2.Bibilia imesheheni mambo yanayopingana na uelewa wa sasa kama vile Jua kuzunguka dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…