Facebook Multi poster ni mtandao unaomuwezesha mmiliki wa blog au website kuweza kushare posts kwenye facebook pages na groups zaidi ya 1000,unachotakiwa kufanya ni kujiunga na kuanza kutumia bila matatizo yeyote. Cheki hii kitu hapa Facebook Multi Page/Group Poster