Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,758
Mbona Jilala umevumilia au wewe sio mtu🤔Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Yule ndo alikuwa Rais sahihi kwa akili ya wtz maana wengi wamesoma ila hawana akili tz ni Dola ya watu selfish sana na tuendako ni kubaya sana tunatengeneza kundi la watu watakao weza kuamua nani awe naniAliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Mwambie hayo maneno wenjeKwani Kuna anayekataa JPM alikua anapambana na mafisadi? Wapinzani hatukugombana na JPM sababu ya kupambana na ufisadi ila masuala kama utawala Bora, kuharibu uchumi, kuua sekta binafsi, kuua wakosoaji, kulipunguzia bunge nguvu, kuingilia masoko mfano korosho, kutugawa kikabila na kikanda, kuandaa bajeti zisizo tekelezwa hata kwa 50%, kuminya media, kupunguza mamlaka ya bunge hasa kwenye kuisimamia serikali, kumtimu CAG kisa kuhoji kwanini haruhusiwi kukagua miradi ya kimkakati n.k.
So msifiche madudu ya JPM kwenye kitu kimoja alichojaribu kukifanya best (ingawa alifeli pia).
Mwambie amfuate kaburini. Amesahau angekuwepo Magufuli hata hiyo taarifa ya CAG isingesomwa.Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Acha kuwa nyumbu basi unaaibisha sana ufipaMwambie amfuate kaburini. Amesahau angekuwepo Magufuli hata hiyo taarifa ya CAG isingesomwa.
Hapa duniani kuna mtu anamfikia Magufuli kwa ubinafsi? Hauko serious bwana mdogo.Yule ndo alikuwa Rais sahihi kwa akili ya wtz maana wengi wamesoma ila hawana akili tz ni Dola ya watu selfish sana na tuendako ni kubaya sana tunatengeneza kundi la watu watakao weza kuamua nani awe nani
Watanunua tasisi zote na kuzidhofisha Sasa
Hizo pesa zinazoibwa Zina makusudi yake kwa malengo waliojiwekea
Wengi hamtanielewa ila Kuna muda ukifika mtakuja elewa
Nyumbu mamako angekuwa binadamu angevaa condom usizaliwe kima km weweAcha kuwa nyumbu basi unaaibisha sana ufipa
Wenje ana akili kuliko ufipa yoteKutumbua ni jambo moja, pesa kurudi ni jambo lingine.
Tumbua, kamata Kila kitu Hadi arudishe pesa.
Unaambiwa majuzi yaliyobanwa na Magu Kwa please bargaining Eti yanaomba yarudishiwe pesa zao wakati ndo yaliyogawana pesa za Escrow.
Vipi reaction ya magufuli CAG professor Assad alipobainisha wizi/ufisadi wa 1.5T?Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Makasiriko! Endelea kulamba asali dada. Kibuyu bado kimejaa.Mwambie amfuate kaburini. Amesahau angekuwepo Magufuli hata hiyo taarifa ya CAG isingesomwa.
Weka hotuba yote, mbona amesema wizi wa uchaguzi wa 2020 uliosababishwa na JPM ndio umepelekea bunge kukosa meno maana hakuna wapinzani Tena. Ndio kubalance akasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndio akataja mazuri yake!!Mwambie hayo maneno wenje
Huyo CAG mnaosifia report zake ameteuliwa na Magufuli msisahau hilo!!Mwambie amfuate kaburini. Amesahau angekuwepo Magufuli hata hiyo taarifa ya CAG isingesomwa.
Kwani Kuna mpinzani aliwahi mkosoa JPM kwa kutumbua majipu au kukamata mafisadi? Tatizo la wapinzani lilikua masuala ya utawala Bora na uwajibikaji wa serikali kupitia bunge, wapinzani, ukaguzi n.k mambo ambayo magufuli aliyadhibiti. Hivi angewapa uhuru huku anatumbua mafisadi unadhani upinzani wangekua na shida naye?Ndani yao wanakiri uwezo na umadhubuti wa usimamizi wa JPM lakini kwa nje wanatofautina na hicho cha ndani yao! Huo ni upumbavu
Bro mbona umelipuka sana hadi umetoka nje ya maada!!?Nyumbu mamako angekuwa binadamu angevaa condom usizaliwe kima km wewe
Angekuwepo yule Ngosha madarakani CAG gani angethubutu kuanika uozo kama huo kwenye report? aAngekesha ana edit ili kumfurahisha yule jamaa tushukuru huyu mama anaruhusu taarifa iwasilishwe as prepared by CAGMwambie amfuate kaburini. Amesahau angekuwepo Magufuli hata hiyo taarifa ya CAG isingesomwa.