M Mc Poul Member Joined Sep 29, 2011 Posts 14 Reaction score 0 May 5, 2012 #1 Vp wana JF, nina external harddisk 1TB nimeshindwa kuifanyia setup kwenye window, inaonekana lakini kufunguka mbinde. Nisaidieni kwa hilo, aina ya External ni Goflex
Vp wana JF, nina external harddisk 1TB nimeshindwa kuifanyia setup kwenye window, inaonekana lakini kufunguka mbinde. Nisaidieni kwa hilo, aina ya External ni Goflex