External Hard Disc Drive inasumbua

Ceasario

Senior Member
May 21, 2017
111
97
Nmeangusha HDD kutoka mezan na nlipokonekt ktk PC ilionesha partitions tu ikabid niifungue kuchek ndan kulikon! !!
Hv sasa inaspin tu pas kuonekana ktk PC.
Tafadhal Mwene utaalamu na HDD anisaidie coz ina vitu VYA HUMIMU ndan NNAVIHITAJI SANA
 
Ungeweza kuandika vizuri ningekusaidia. Tatizo ninapatwaga na roho mbaya nikiona miandiko ya namna hii. Ngoja wenye roho nzuri waje.
 
Hahah usiandike kama vile mtaaalamuuuuu...andika kama mtu unaehitaji msaada sio unaaandika Muandiko wa hovyo haya endelea
 
Ndio maana nikasema #MTAALAMU wa..#

Km huelewei bas hauna utaalamu. Piga kimya, hkn chukua mwndiko mbivu wala cjui kuandka je hapo... utaalamu ndo wahitajika.
 
Partition inaonekana karika formart gani?

Kama plate inazunguka na disk inaonekana kwenye kompyuta jaribu kutumia easeus disk recovery.

Inaweza ikatatua.
 
Hv sasa HAIONEKANI ktk PC bali inazunguka tu..
Je kuifungua yaeza(japo cjajua chcht ndani) kwaeza changia tatzo ?
 
Hv sasa HAIONEKANI ktk PC bali inazunguka tu..
Je kuifungua yaeza(japo cjajua chcht ndani) kwaeza changia tatzo ?
Actuator kwenye plate imekaaje?
Jaribu kubadili pia usb wire kama ni external.
 
Ukifngua actuator iko nje y plattor..
Circuit n cable zko sawa coz za piga kaz vyema ktk xteno zngn
 
First, check kama inaonekana kwenye PC yako. Ila kama huna ujuzi wa hayo mambo,ili usije jiharibia,tafuta mtu akuangalizie. Kama partitions zinaonekana,kwa kutumia recovery software unaweza fanikisha. Lakini ukibahatisha kutoa,hiyo usiitegemee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom