Expert wa laptop

Transkei

Senior Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
115
Reaction score
70
Wakuu laptop yangu ya toshiba inashindwa kurecognize external disk,flash disk nini tatizo?msaada plse
 
Jamani naomba activators za windows 8.1 the old crack zimestukiwa napata update ila kuactivate ni issues
 
Huenda DRivers ZA hizo Device huna kwenye PC yako.....Jaribu "Driver Pack Solution Application"
 
hapo tatizo linaweza kua kati ya vitu viwili. 1. huenda ime-mis driver za usb that why hizo port hazisomi 2.huenda chip unayo-control ie ic inayo contol usb port imekufa.So jaribu kuweka hizo drivers zikigoma nichek 0762647575, nikufanyie repair ya hiyo ic.
 
kwani computer yako ina partition ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…