Tukiongelea swala zima la kutafuta kazi na uzoefu wa kazi then unajikuta ndio umetoka chuoni inatuumiza sana vijana katika soko la ajira Tanzania may be serikali ingetilia mkazo swala zima la kuondoa uzoefu kazini na kuboresha zoez zima la training kwa wa ajiriwa kwanza