N nyotayao90 Member Joined Nov 19, 2014 Posts 18 Reaction score 3 Feb 4, 2015 #1 Hawa Jamaa kazi zao wanatangaza wapi.? natamani nipate hata kazi ya Bank Teller., maisha magumu kwel mtaani
Hawa Jamaa kazi zao wanatangaza wapi.? natamani nipate hata kazi ya Bank Teller., maisha magumu kwel mtaani
Punda wa Dobi JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 591 Reaction score 238 Feb 5, 2015 #2 piti website yao tab ya careers.... ukishindwa sana peleka barua yako pale exim towers... ukishindwa kabisa kabisaaaaa, jilipue kwa staff mmoja mpe CV yako akufkishie inapostahili kufika..... acha lelemama
piti website yao tab ya careers.... ukishindwa sana peleka barua yako pale exim towers... ukishindwa kabisa kabisaaaaa, jilipue kwa staff mmoja mpe CV yako akufkishie inapostahili kufika..... acha lelemama
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 Feb 6, 2015 #3 Peleka CV yako ofisini kwao, unasubiri wakutangazie wewe na kwani watoto wa mjomba hawapo?