Hivi vijarida vya uongo uongo ni shida tupu,eti linaandika
"Kikwete, who had earlier served as the country’s Intelligence Chief.."
Hahah hivi vijarida vina mambo ya kutunga na uongo uongo mwingi kishenzi hahah.
Hivi hili jarida si ndio lilisema Waasi huko Rwanda wanakaribia kuikamata kigali?hahah akili kichwani aisee