Excavator/kijiko kinauzwa

Excavator/kijiko kinauzwa

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
624
Reaction score
548
Habari

Excavator yaani kijiko kinauzwa kipo mkoani Iringa. Bei Tsh 50M. Kipo ktk hali nzuri ni cha kijapani imara

Kwa maelezo zaidi ya engine nk na attach card yake. Lakini ukitaka maelezo zaidi ya kiufundi wasiliana nami nikuunganishe na mmiliki. Mimi namfanyia tu udalali

Kuletwa Dar au mkoa wowote inawezekana. Ni mipango tu inapangwa

Nipigie 0758 308193. Kutokana na hizi mvua labda mtandao ukiwa down unaweza nitumia sma au watsap namba hiyo.

IMG-20201106-WA0006.jpg

IMG-20201106-WA0005.jpg

IMG-20201106-WA0003.jpg

IMG-20201106-WA0001.jpg

IMG-20201106-WA0004.jpg

IMG-20201106-WA0002.jpg
 
Habari

Excavator yaani kikiko kinauzwa kipo mkoani Iringa. Bei Tsh 50M. Kipo ktk hali nzuri ni cha kijapani.

Kwa maelezo zaidi ya engine nk na attach card yake. Lakini ukitaka maelezo zaidi ya kiufundi wasiliana nami nikuunganishe na mmiliki. Mimi namfanyia tu udalali

Kuletwa Dar au mkoa wowote inawezekana. Ni mipango tu inapangwa

Nipigie 0758 308193. Kutokana na hizi mvua labda mtandao ukiwa down unaweza nitumia sma au watsap namba hiyo.

View attachment 1623447

View attachment 1623448

View attachment 1623449

View attachment 1623450

View attachment 1623452

View attachment 1623453
Sorry, nje ya mada.
Hitachi Wanaotengeneza electronic equipments kama TV, Radio, etc ndo hao hao Wanaotengeneza haya madude?
 
Sorry, nje ya mada.
Hitachi Wanaotengeneza electronic equipments kama TV, Radio, etc ndo hao hao Wanaotengeneza haya madude?
Ndo hao hao mkuu. Hata Samsung anayo pia haya madude(Wanashirikiana na Volvo nadhani)
 
Update: Mzigo ushaletwa Dar jana usiku so upo Dar km kuna mtu anataka kuuona tunaweza panga
 
Back
Top Bottom