siku hizi naona hawafuati format sana hasa kwa masomo ya Chemistry na Biology, somehow hata Physics unaweza kukuta maswali paper one kwenye paper two... kwa mfano fluid dynamics na rotation ni za pepa two ila kuzikuta paper one si ajabu..
au bios Reproduction ipo kote I na II,
nawashauri tu mnaosoma, unapojiandaa na paper one usiache kupitia na topics za paper two.