Ex wangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Dunia hii tamu
Ex wangu aliniacha akafikiri ame ni weza kumbe amejiweza
Sasa ivi natoka na mdogo wake wivu imetawala moyo wake
Mapenzi raha bwana
Kila siku kutupiga vijembe kwenye mitandao yote ya kijamii
Sijui sisi mapaka sisi majibwa sisi mizimu

Ila ili la leo ndo limenipa wasiwasi kidogo
Eti sisi ni marehemu watarajiwa

Sijui ana maana gani uyu

Najua utasoma post hii
Nikifa tu wakubwa naomba mjuwe nimerogwa
Last week ulitowa post yako nikajua una ni ongelea sasa na mimi nimetowa yangu
Nikifa tu ujuwe ni wewe
 
Kazi kwelikweli

Dedication anaemliki ex wangu nani[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tuwalee vizuri mabinti zetu jamani. Hii ni aibu kubwa sana kwa familia hiyo.
 
[emoji1787]umenifanya nicheke
 
Ulichofanya Ila si vizuri, kutoka na mdogo wake, we umetaka Vita mulaa.
 
Ha ha huyo hana lolote,mwalikeni mahali mumpe ofa ta bia na nyama

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Marehemu mtarajiwa vipi bado uko hai au tuje kuhani [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…