Ex Wangu Ulaaniwe Kabisaa..!!

Wapumbavu wachache ndio wanaofanya bangi ikatazwe
 
Mie mnyamwezi Matata biti langu ni zaidi la huyo ex wako. Bora hata usiwaze kuyajenga na Kasie.
Khaa we mnyamwezi mimi ni Muarusha na Mmasai,so akuna ugumu nionee huruma mdogo ako Sister Kasie
 
Wewe wanakufaa wahaya au washubi....
Doooh wahaya noop kwakweli,,si bora tu nimekomaa na Dada zangu Wambulu(Wairaki),Wameru,Wachagga na Warangi aisee..!!au hata wasukuma.
 
Una undugu na yule jamaa anajiita Beneficial??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…