Oh, Gas ya Tanzania worth about 6 trillion US Dollars; Ndio Maana Budget yote ni ya Mkopo sababu ni rahisi kupata
Mikopo sasa sababu ya GAS, Unamsikia Lowassa tukope tu GAS iwe collateral; na nadhani tulizifanyia GOLD hivyo hivyo
Wanaokuja kuumia ni Watoto na Vijukuu Vyetu; Nchi itakuwa imeuzwa