Grader JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 445 Reaction score 65 Feb 24, 2015 #1 Leo bei za jumla za mafuta kwenye kampuni mbili kubwa kama ifuatavyo, Puma Energy; diesel -1500,petrol-1530; Gapco; diesel-1600,petrol-1666. Hizi kampuni mbili zinanunua mafuta sehemu moja na bei moja. Je hawa jamaa ewura hawapangi bei????
Leo bei za jumla za mafuta kwenye kampuni mbili kubwa kama ifuatavyo, Puma Energy; diesel -1500,petrol-1530; Gapco; diesel-1600,petrol-1666. Hizi kampuni mbili zinanunua mafuta sehemu moja na bei moja. Je hawa jamaa ewura hawapangi bei????