mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,967 Jan 10, 2019 #1 Ewe ndugu yangu ME/KE Kwanini unaamua kuchepuka? Kitu gani unakosa kwa mpenzi wako?? Kwa upooooole kabisa hebu nipe angalau sababu mbili mpendwa katika bwana. Asante Mimi ndimi muonyaji wako Sent using Jamii Forums mobile app
Ewe ndugu yangu ME/KE Kwanini unaamua kuchepuka? Kitu gani unakosa kwa mpenzi wako?? Kwa upooooole kabisa hebu nipe angalau sababu mbili mpendwa katika bwana. Asante Mimi ndimi muonyaji wako Sent using Jamii Forums mobile app
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,618 Reaction score 18,556 Jan 10, 2019 #2 Wewe mwanaume kwanini usichepuke ?
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,002 Reaction score 16,240 Jan 10, 2019 #3 Mimi kwa kweli sijawai kuwa na bahat ya kuchepuka, But huwa inanitokea hile hali ya kuvunjika mahusiano na fulani na kuwa na fulani... Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa kweli sijawai kuwa na bahat ya kuchepuka, But huwa inanitokea hile hali ya kuvunjika mahusiano na fulani na kuwa na fulani... Sent using Jamii Forums mobile app
Wilo12 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2018 Posts 287 Reaction score 424 Jan 10, 2019 #4 mzee wa kasumba said: Ewe ndugu yangu ME/KE Kwanini unaamua kuchepuka? Kitu gani unakosa kwa mpenzi wako?? Kwa upooooole kabisa hebu nipe angalau sababu mbili mpendwa katika bwana. Asante Mimi ndimi muonyaji wako Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yule umtongoze kwenye gari alikutunuku papuchi mlivyoshuka tabora? Kp kilifanya uchepuke Tuanzie hapo
mzee wa kasumba said: Ewe ndugu yangu ME/KE Kwanini unaamua kuchepuka? Kitu gani unakosa kwa mpenzi wako?? Kwa upooooole kabisa hebu nipe angalau sababu mbili mpendwa katika bwana. Asante Mimi ndimi muonyaji wako Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Yule umtongoze kwenye gari alikutunuku papuchi mlivyoshuka tabora? Kp kilifanya uchepuke Tuanzie hapo
mzee wa kasumba JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 1,440 Reaction score 2,967 Jan 10, 2019 Thread starter #5 Wilo12 said: Yule umtongoze kwenye gari alikutunuku papuchi mlivyoshuka tabora? Kp kilifanya uchepuke Tuanzie hapo Click to expand... Hapo sio Mimi (mzee wa kasumba) nilieongea jamani. Ni roho mtakatifu Sent using Jamii Forums mobile app
Wilo12 said: Yule umtongoze kwenye gari alikutunuku papuchi mlivyoshuka tabora? Kp kilifanya uchepuke Tuanzie hapo Click to expand... Hapo sio Mimi (mzee wa kasumba) nilieongea jamani. Ni roho mtakatifu Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Jan 10, 2019 #6 Kuna wanawake ukiwaona tu unawaza kuchepuka. Achana na hao wakina Maimuna unaokutana nao.
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,596 Reaction score 65,046 Jan 10, 2019 #7 Kuwa mbali au kikazi na mpenzi/mkeo