Every man with money is handsome

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,477
Reaction score
21,025
Kama wewe ni Mwanaume halafu ni mfupi kama kashata na bahati mbaya udongo uliishia katikati mapema wakati sura yako inatengenezwa,na hela ya kuhonga huna....Naelewa mateso unayoyapata mtaani maana kila msichana unayejitoa kumpenda kwa moyo na dhati anasema hawezi kuwa na wewe kisa we mfupi anaogopa kuchafua Ukoo na mbegu mbovu...Cha ajabu msichana huyohuyo after few days unakutana nae kakumbatiwa pale UHURU PEAK nakijamaa kina mapengo kifupiii ila kina Vogue pembeni mdada anambusu hadharani...Usilie.Tafuta hela tu.Hawa viumbe ukiwa na hela tu wanakuona mrefu,utapendwa mpaka ujihisi unatembelea nyota ya Diamond. Money is the most handsome man on the Planet,if you have him he makes u handsome too
 
Super like aiseee nimeipenda hii
 
Aiseee!
Hii ni lazima itakuwa ID ya Pili ya lara 1
 
Last edited by a moderator:
Duuu aisee, kumbe ndio maana mimi wananiambiaga handsome wakati sio? kumbe hela zangu, i didnt know that kwa kweli!
 
^^
Kutojiamini ni pengo ambalo siku zote jino limeachwa kwa jirani
^^
 
true dat!
Money makes the World go round!
 


tatzi la mabinti wengi(sio wote) huwaza maisha bora bila kujua yanatafutwaje,ndio maana kuwatumia ni rahisi sana.......wasipogeuza mitazamo yao watateketea ki...........
 
mh hii kweli,unakuja jitu baya lina demu mkaliii!!!!!!!!
 
Ukweli 100% wala haina haja ya kuunda tume kutambua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…