Tungaraza Jr
Senior Member
- Feb 3, 2012
- 196
- 49
Every Girl's Dream..
1.Getting Kissed In The Pouring Rain. Kwa nini tukakae nje wakati mvua inanyesha?
2.Have The Hot Kiss Where You are Pressed Againts The Wall. Wengine tumetoka kwenye mazingira ambayo kukiss ni sawa na kutemewa kwa aina yeyote tu, sasa raha kutemewa??
3.Have The Guy That Thinks You Are The World. Nitakuwaje dunia?? Mwanamme akifikiri hivyo ni kilaza, kimbia fasta
4.Have A Good Guy That Holds On As Long As Possible When Giving Hugs. Mmmh, hugz ya nini wakati ndani unga hautoshi?? Huo muda akatafute msosi
5.A Guy That Whispers He Loves You In Your Ears. Mwanamme anayekupenda hahitaji kuongea, hata masharobaro wanasema "nakupenda". Mwanamme vitendo
6.Have That Moment Where You Just Gaze Into Each Others Eyes. Tamthilia zaidi
7.When You Cry, He Kisses Your Tears Away. Kwa hiyo kazi ya mwanamme ni kumlamba machozi mwanamke?? Mna kazi kwa kweli!!
8.When Your Not With Your Guy He is All That You Can Think About. Mmmh, nikae namfikiria nitapika saa ngapi?? Sifanyi kazi?? Helo maza!
9.Wearing His Jacket Or His Sweatshirt And Every time You Breath In His Scent Surrounds You. Jamani, hebu kuwa real, nivae koti saa saba Dar na kashakasha za usafiri wa Dar hii??, Yeye mwenyewe fundi gereji, ninuse grisi??
10.A Guy Who Will Watch Any Movie With You No Matter How Teary Eyed You May Get. Bora hata aniimbie wimbo wa taifa
Geloz wa wapi???
Unaniuzia chai mzee
ungekuwa mwalimu konnie basi ni mwalimu wa report maana hizo red khaaaa...
Geloz wa wapi???
Unaniuzia chai mzee
natalia, y do wana poor scorns upon poor men? life change like a wind! Me kuna walionikataa kwa vile nilikuwa sijapata job ya uhakika, sasa wananitafuta...na Me SIZITAKI MBICHI HIZI...MAISHA YANABADILIKA KAMA MAJIRA VILE MASKINI WA LEO TAJIRI WA KESHO...BLV MEGet married to a rich men your job is shopping makeup. Facebook .poor men is not attractive
Geloz wa wapi???
Unaniuzia chai mzee
we wa huku kwetu wenyewe hayo mambo hata hawajui, wanawaza tu lini wamalize S.T.D 7 waolewe, tena staili ya kupata mchumba ni ile ya kupigwa mtama wakati wa kutoka kisimani kuchota maji...hayo ya kwenu huko huko mjini
lols, nimecheka sana masahisho ya Kongosho duh!
Hahahaaaaaaaaaaa hii pia imo?
Every Girl's Dream..
1.Getting Kissed In The Pouring Rain.
2.Have The Hot Kiss Where You are Pressed Againts The Wall.
3.Have The Guy That Thinks You Are The World.
4.Have A Good Guy That Holds On As Long As Possible When Giving Hugs.
5.A Guy That Whispers He Loves You In Your Ears.
6.Have That Moment Where You Just Gaze Into Each Others Eyes.
7.When You Cry, He Kisses Your Tears Away.
8.When Your Not With Your Guy He is All That You Can Think About.
9.Wearing His Jacket Or His Sweatshirt And Every time You Breath In His Scent Surrounds You.
10.A Guy Who Will Watch Any Movie With You No Matter How Teary Eyed You May Get.