Salam wakuu!!
Ni mda wa weekend, Wanaeuropa wamejipumzisha kwa style mbalimbali kulingana na kipato chao kinavyo waruhusu.Ndani ya Europa kuna matatizo mbalimbali kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni.Wengi wa Wanaeuropa wanadai ni matatizo yalio letwa na Barcelona Fc + kiongozi wao Mesi Magugula,wanadai kuwa Mesi amekua mbabe asie shaurika hata na wanateam wenza,pia inadaiwa kuwa anafunga magoli mengi ya mkono kuliko ya mguu na kichwa.Nani anajua? Ndivyo wanavo dai wanaeuropa hususan kutoka Real Madrid Fc.Hivi punde mshikemshike nyama kuponyoka ndani ya Europa kumeanza harakati za kuandaliwa mchezo mkubwa mwaka 1983,kumpata atakae vunja mkataba wa Mesi utakao isha mwaka 1983,katika kanuni ya Europa inaruhusu Mesi kung'ara tena ndani ya Europa endapo atapenda.Kutokana na Europa League kukaribia basi mikanganyiko ndala kukatika imeanza kutokea ndani ya Europa,ambapo wanaeuropa hawajui nani wamchague.Hii imetokana na kwamba ndani ya club bingwa Barcelona Fc inayongara ndani ya Europa kuingia katika mgogoro wa wao kwa wao ambapo kuna wanateam wanamhitaji Mesi Magugula kuendelea kung'ara ndani ya Europa huku wengine wakihitaji Suarez Mbembe ambae ni mchezaji mzuri na tishio kwa Mesi Magugula ang'are ndani ya Europa.Huu mgogoro ndani ya Barcelona FC,ukiuangalia unaweza kusema ni wa Europa nzima kumbe ni wa wateam na wanateam wenyew.Kwa upande wa team pinzani Real Madrid nako ni mambo motomoto maharage kuungulia kwasababu mpaka sas hawaja taja nani atateuliwa kuw striker ndani ya Europa League 1983,hii ni kutokan na nyota wao Cristiano Ronaldo kupigwa ban chini ya kamati ya Europa inayoongozwa na Barcelona kwa kesi mbalmbal zilzo kuwa zina mkabili.
Basi kuhusu matatzo yaliomo ndani ya team zote hizi mbili Barcelona FC & Real Madrid FC,huwapa wanaeuropa mkanganyiko wengi wa kiwaza 1983 kutakuwa mchezo kati ya
1.Barcelona FC =Mesi Magugula vs Real Madrid=(Unknown until now). Au
2.Barcelona fc =Mesi Magugula vs Barcelona fc=Suarez Mbembe vs Real Madrid=(unknown).
Pia usijisahaulshe kuhusu kisiwani Uk kwamba Ni je Manchester City wata ngara au Barca kupitia mjumbe wao watabakia kungara.Kumbuka ajenda kuu ni nani akae vunja mkataba wa Mesi?Au Mesi yeyemwenyew ata amua kupisha bila kuingia uwanjani....
Pia mchezo huo kisheria umepangwa kufanyika 1983,umewafanya wanaeuropa kuwaza yafuatayo;
1.Ni je?FIFA itakuwa huru kusimamia mchezo huo kwa kuto marefa&vbendera wazuri?
2.Ni je?Barcelona haitatumia La Liga, Bundas liga,English premium league,Serie,Bundesliga & Ligue kulinda maslai ya team yao?
3.Ni je?striker atakae funga hat-trick anampango gani na wanaeuropa kuhusu kufulaia mechi mabalimbali.
4.Ni je?Europa itakuwa kimbilio la wachezaji wote
5.Ni je?kamati zote tatu zita simama kujitegemea bila kuingiliwa.
Ndugu Mwanaeuropa jandae na tiketi yako mkono mwaka1983 kushuhudia mpambano mkali sana kuwai tokea ndani ya Europa yetu.
Nikiripoti toka Mdœdœ Switzerland ni mimi reporter wako Miguel Clásico Adrevaty Cesar Vagos Martín Grandes Alonso gente la gente Gonzalo, inshort Miguel Gonzalo.