ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,490
- 8,305
Ubuyu, Ujuvi na ChukiHabari za jumapili.
Inajulikana kuwa kila nchi watu wake wanasifika kwa jambo fulani liwe zuri au baya. Mfano ni German na bia,russia na vodka,brazil na soka,japan na kazi. Somalia na vita, China na biashara,sasa sisi tunapenda nini?
Natamani nikupe like 12.Ubuyu, Ujuvi na Chuki
Hata kama na sisi hatuna eti.malumbano ya kisiasa na kuhoji vyeti vya Bashite
malumbano ya kisiasa na kuhoji vyeti vya Bashite
Weka mchele basi.Ume changia pumba mkuu
Unamaanisha hatujitambui au siyo mkuu.Watanzania hatuko specific,chochote kinachoibuka hicho hicho ndo tunakipenda
Yes!hela tunapenda sana ila kuzitafuta hatupendi.Helaaaaa
Mmh! like tuko safarini lakini hatujui tunakoelekea. Hata tukifika hatutajua.Asee hatueleweki tunapenda mini mfano tunalia njaa afu tukipewa chakula tunasema sio kitamu