Mzalendo Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 735
- 191
hatuna approach ya kisayansi ya michezo, wazungu wanakua na dietitian anayewamonitor wachezaji waliofunga na mambo yanaenda vizuri tu, so, yeah kama hatuna watu wanaofanya mambo kitaalamu, urahisi ni kuchagua wachezaji wasiofunga na kuanzisha mambo ya udini kama kawa..Ni kweli kuna Uhuru wa kuabudu. Kwangu mimi ni BORA kocha angechagua wachezaji wa timu ya pili WASIOFUNGA kuliko hao wasiokula. Mpira ni nguvu, mpira ni chakula. Tulitegemea kupata nini kutoka kwa mchezaji ALIYENGA RAMADHANI? Ni comedy tu ndiyo tunaiwezea.
Hujasikia wachezaji wanaofunga kwenye ligi za Ulaya huko?
Mbona haitolewi kuwa sababu ya timu kufungwa (au kushinda?)
Hujasikia wachezaji wanaofunga kwenye ligi za Ulaya huko?
Mbona haitolewi kuwa sababu ya timu kufungwa (au kushinda?)
Hao kina Demba Ba na mwenzake Papiss Cisse wamekiri kuwa huwa wanafunga lkn siku ya mechi hawafungi kwa kuelewa umuhimu wa mechi. Nitashangaa sana ikithibitka kuwa kina Kiemba walifunga jana na bado kocha akawapanga
Hujasikia wachezaji wanaofunga kwenye ligi za Ulaya huko?
Mbona haitolewi kuwa sababu ya timu kufungwa (au kushinda?)
Ulaya hata kama wapo wachezaji waliofunga huwa ni Wangapi? Kunaweza kuwa mmoja ambaye atacheza 45mn.
Shida ya Tanzania ni kuwa robo tatu ya wachezaji ni wale wa kufunga. Ndiyo maana kipindi cha kwanza walikuwa na nguvu na baadaye wakawa ndembe.....
Tafuteni sababu nyingine ya kushindwa sio kufunga, starting 11 ya siku ile waislam walikuwa wanne tu Kaseja, Salum Abubakar, Mrisho Ngassa na Amir Kiemba. Kati ya hao waliofunga ni wawili tu Kaseja na Kiemba, Ngasa na Salum Abubakar hawakufunga tuliwaona wakinywa maji afterall ni wavuta bangi wamfungie nani?
Waliobaki ni wa dini nyingine.
NB Shomari Kapombe na Mwinyi Kazimoto ni wakristo ila wana majina yanayo shabihiana na uislam
Kumkataza mtu asifanye kazi kwa sababu tuu ya ku-practice dini yake ni ubaguzi at its best.
Wakati timu na mameneja wanajaribu kuelewa na ku-accomodate mahitaji ya kidini ya wachezaji wewe ndiyo kwanza unashangaa?
Nitakushangaa sana kama utashangaa kama "ikithibitka kuwa kina Kiemba walifunga jana na bado kocha akawapanga".
Mbona Edin Dzeko wa Man City alifunga mabao manne dhidi ya Spurs mwaka juzi wakati akiwa amefunga?
Of course, kuna dilemma ya whether mchezaji ambaye hajala wala kunywa kwa masaa karibu 18 kucheza kwa kiwango cha hali ya juu kwa dakika tisini lakini ni muhimu kuelewa kuwa kufunga ni special moment kwa kila Muislamu wakiwemo wachezaji.
Kwa hiyo, badala ya kushangaa ni bora kuangalia timu na mameja wanaweza ku-balance mambo vipi kwa faida ya pande zote mbili.
Mbona Iraq wanafanya vizuri U-20 wakiwa wote wamefunga?Tanzania imekuwa ni nchi ya utani na mambo makubwa. Inasemekana sehemu kubwa ya wachezaji WALIFUNGA RAMADHANI!!!! Ni utani. Funga na mpira WAPI na WAPI?
Hao kina Demba Ba na mwenzake Papiss Cisse wamekiri kuwa huwa wanafunga lkn siku ya mechi hawafungi kwa kuelewa umuhimu wa mechi. Nitashangaa sana ikithibitka kuwa kina Kiemba walifunga jana na bado kocha akawapanga