Mkuu
kwa kiasi fulani kuna kaukweli KQ wanashare nyingi............. Watanganyika tunatakiwa tujitahidi hao wakenya wamejaribu.........ni kampuni chache saana za Tanzania zinafanya biashara Kenya............Nilikuwa na imani saana na CRDB.....nkajua kwa sasa wengekuwa wameshaenda Nairobi....kampala....South Sudan....Goma Nk......ni siasa tu kwa umri wa hiyo bank na faida wanayopata..........sikuona sababu kwanini wachelewe hivyo......kwanda Burundi nilihisi ingeambatana na maeneo mengine........
Wakenya wanatuzarau kwa sababu wakiangalia hawaoni Brand yoyote kutoka TZ kwenye soko lao..so hiyo ya KQ na PW ni halali kabisa wakisema ni kampuni tanzu yao