cantonna JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 1,122 Reaction score 439 Oct 8, 2013 #1 eti kunamaneno kitaa kuwa eti bodi ya mikopo imetoa mikopo kwa baadhi ya wanafunzi waliokuwa wamekosa kwa mara ya kwanza??
eti kunamaneno kitaa kuwa eti bodi ya mikopo imetoa mikopo kwa baadhi ya wanafunzi waliokuwa wamekosa kwa mara ya kwanza??
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 8, 2013 #2 as the great thinker unaposikia habari kama hiyo hujui cha kufanya!!? kwanza hujiamini halaf uzi wako wa darasa la saba... kafungue heslb ucheki sasa!
as the great thinker unaposikia habari kama hiyo hujui cha kufanya!!? kwanza hujiamini halaf uzi wako wa darasa la saba... kafungue heslb ucheki sasa!
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 601 Oct 8, 2013 #3 Godfrey Jackson said: as the great thinker unaposikia habari kama hiyo hujui cha kufanya!!? kwanza hujiamini halaf uzi wako wa darasa la saba... kafungue heslb ucheki sasa! Click to expand... Mi nahisi we pia umekaa ki darasa la saba.
Godfrey Jackson said: as the great thinker unaposikia habari kama hiyo hujui cha kufanya!!? kwanza hujiamini halaf uzi wako wa darasa la saba... kafungue heslb ucheki sasa! Click to expand... Mi nahisi we pia umekaa ki darasa la saba.
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 8, 2013 #4 Landcruiser said: Mi nahisi we pia umekaa ki darasa la saba. Click to expand... ulitaka nichangie nn!
Landcruiser said: Mi nahisi we pia umekaa ki darasa la saba. Click to expand... ulitaka nichangie nn!
Landcruiser JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 1,805 Reaction score 601 Oct 8, 2013 #5 Godfrey Jackson said: ulitaka nichangie nn! Click to expand... kwa leo "nn" imetosha ,tuanze kutumia "nini" ndio ipo sahihi.
Godfrey Jackson said: ulitaka nichangie nn! Click to expand... kwa leo "nn" imetosha ,tuanze kutumia "nini" ndio ipo sahihi.
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 8, 2013 #6 Landcruiser said: kwa leo "nn" imetosha ,tuanze kutumia "nini" ndio ipo sahihi. Click to expand... ndiyo mwalimu!!!
Landcruiser said: kwa leo "nn" imetosha ,tuanze kutumia "nini" ndio ipo sahihi. Click to expand... ndiyo mwalimu!!!