Eti NECTA hawajaachia matokeo ya 2016?

Kupenda kujua

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
18
Reaction score
9
Jamani naomba msaada, je ni kweli waliomaliza form four 2016 hawa dahiliwi intake ya March/April kusoma certificate?
 
Kasome vizuri kwenye tuvuti ya NACTE wameelenza kwa uzuri. Wanaohitajika kwa march intake ni wale waliomaliza 2015 kurudi nyuma. Subiria nafasi zenu zitatoka.
 
Kwa mfumo wa CAS hamruhusiwi japo nasikia kuna vyuo wanatangaza ila wafuate Nacte msije kuwa wanafunzi hewa siku ya kuhitimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…