Eti hapendi starehe!!!

BRO LEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2011
Posts
837
Reaction score
628
Stori hii memeipata toka kwa m2 wa 2 ambaye ameombwa ushauri na kunishirikisha. nimeona vema
kuileta hapa JF kwa sababu kuna majembe wa ushauri na hakuna lisilo na jawabu hata km jawabu ni hasi.

kuna dada anaishi na mwanaume kwa muda wa miaka 4 sasa wana watoto wawili, mumewe ana wivu

sana na hataki huyo dada ajishughulishe na kazi zozote za kuingiza kipato na mdada akiuliza

anaambiwa asubiri watoto wakue ilihali bado wana mpango wa kuongeza familia. mwanaume huyo pia

amekuwa hamhusishi huyo dada katika mambo mengi yanayohusina na shughuli zake na mipango ya

familia, dada akihitaji kitu ataletewa yaani full mama wa nyumnani bin gate kali.

Huyo dada aliyekuwa anaombwa ushauri akamwambia km wana furaha haina shida suala la ndoa na

kufanya shughuli za kiuchumi endelea kushawishi ila kwa upendo na subra, mdada akafunguka zaidi

kwamba kiukweli hafurahii suala ya unyumba, kwa kuwa jamaa yake/mumewe full jogoo anamdandia

na kufika hapo hapo akimaliza anageuka hana hamu, zaidi ni kwamba vitu vya studi anapata mara 2

kwa wiki au wiki bila bila, na wakati mwingine jamaa anakwea network inapotea. akimwuliza mara

uchovu au mwili wangu ndivyo ulivyo ( eti unene) na wakati mwingine eti msongo wa mawazo.

Mwombwa ushauri akamwambia ina bidi wawe wanaandaana kwa muda ili na yeye afurahie matunda

ya umoja, mdada akasema jamaa hana mpango wa mabusu wala d-e-n-d-a yeye mwanzo mwisho

kukuimbilia mgodi. Sasa si muazime hata maujanza(vitu vya studio) toka kwa wenzetu mfano ....ndo

vile... ili mambo yawe burudani. Mdada akamjibu aliwahi kumshawishi mshikaji ikiwamo hayo mabusu

lakini akajibiwa kwamba SIPENDI STAREHE hivi inatosha.

Mdada yupo njia panda, anaomba ushauri katika maeneo yote muhimu niliyogusia katika kisa hiki, mi nimeshirikishwa tu kama m2 wa 3.
​
 
Mkuu umetumia lugha ghani kwenye hii thread? mbona nimesoma mara mbili sielewi ahahaha
 
Nadhani hujaambiwa ili utoe msaada wa mawazo hapo ni utendaji zaidi!!!

- kama nimekusoma vyema lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…