Inasemekana au ni taarifa yenye uhakika mkuu? Maana naona sasa mambo mabaya yanaanza...na hiyo Tarime sijui wananchi watayapokeaje matokeo ya namna hiyo. I just hope matokeo yoyote yatakayotangazwa ni sahihi na kweli
Kwa Tarime inawezekana. Kumbukeni Mwera naye alikuwa na wapenzi wake binafsi ambao wamemfuata CUF. Chadema na Cuf watakuwa wamegawana kura...Team Work Spirit is needed